19 September 2012

WANYANGE


Redd's Miss Kanda ya Kaskazini 2012, Warida Frank (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Anande Raziel (kulia) na Lucy Stefano (kushoto) aliyeshika nafasi ya tatu wakiwa katika picha ya pamoja, mara baada ya kutangazwa washindi katika mashindano yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha. Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment