18 September 2012

WANYANGE

Warembo wanaowania taji la Redd’s Miss Temeke litakalofanyika Ijumaa , kwenye ukumbi wa PTA (Sabasaba Hall), wakiwasiliza wakufunzi wao kutoka kulia Joyce Maweda, Leyla Bhanji, Hawa Ismail na Mwajabu Juma wakati wa mazoezi yao jana kwenye Club ya TCC Chang’ombe.Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment