13 September 2012

WANYANGE


Mpiga picha wa gazeti hili, Anna Titus (aliyeshika gazeti) akiwaelezea washiriki wa mashindano ya Miss Utalii, Wilaya ya Ilala na Kinondoni jinsi ya kusanifu picha jana, walipotembelea ofisi za gazeti hili kujionea jinsi shughuli za uzalishaji magazeti zinavyofanywa. (picha na Stella Aaron)

No comments:

Post a Comment