11 September 2012

WACHEZAJI

Wachezaji wa timu ya Copa Coca-Cola 'Dream Team' ikiwasili kutoka Pretoria, Afrika Kusini juzi baada ya kumalizika kambi ya wiki mbili iliyokuwa chini ya makocha kutoka shule ya soka ya vijana ya Chelsea ya Uingereza. Kambi hiyo pia iliodhuriwa na nchi 15 za Afrika. Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment