Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Bw. Shaibu Ndemanga (kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Uwezeshaji wa Kampuni ya Heidelberg Cement, Bw. Barry Hudson, baada ya kuzindua madarasa mawili ya Shule ya Sekondari Kighare, yaliyojengwa kwa msaada wa kampuni hiyo na Tanzania Portland (TPCC), mkoani Kilimanjaro juzi. Madarasa hayo yalianguka wakati wa mafuriko mwaka jana. (Picha na Said Njuki)
No comments:
Post a Comment