12 September 2012

UMATI WA WAANDISHI WA HABARI KATIKA VIWANJA VYA JANGWANI

Umati wa wanahabari walioshiriki maandamano hayo wakiwa katika viwanja vya Jangwani wakisikiliza matamko yaliyotolewa na na viongozi wa jukwaa la wahariri (TEF),ambao hawapo pichani

No comments:

Post a Comment