06 September 2012

UFUNGUZI

Balozi wa Japani nchini Tanzania,Bw. Masaki Okada(kulia) na Mwanzilishi wa Vipaji Foundation Sister,Bi.Jean Pruit(wa pili kulia) wakipokea maelezo kutoka kwa wasanii mbalimbali wakati wa ufunguzi w maonyesho ya sanaa ya ufinyanzi na uchongaji wa vinyago vya chuma vinavyolenga kuwawezesha wanawake.Maonyesho hayo yameansaliwa na Vipaji Foundation ambayo inadhaminiwa na tcc.Maonyesho hayo ya aina yake ya wiki mbili,katika kituo cha Alliance Fran boise jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment