25 September 2012

RUSHWA


Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Ilala, Bi. Pamela Kalala akiwa na ndugu yake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana, mara baada kupata dhamana baada ya kutajwa kesi ya kuomba rushwa ya sh. milioni 3 na kupokea sh. 900,000. (Picha na Heri Shaaban)

1 comment:

  1. Jamani kila siku tunasema idara ya mahakama imeoza,wahusika hawachukui hatua,ati kisa mahakama haingiliwi. mawakili,makarani,majaji na mahakimu wameharibu mfumo mzima wa sheria nchini huku wakiangaliwa tu. Ngugu yangu Lissu mawakili wenzio ndio sumu kabisa ya uvurugaji wa sheria nchini. hivyo usiwavalie njuga majaji tu hata mawakili wenzio ni balaa na janga la nchi hii. NCHI INAANGAMIA HUKU WAHUSIKA NA UTENDAJI WAKIANGALIA TU. SI UNAMUONA HAKIMU HUYO MLA RUSHWA ANACHEKA TU HANA WASIWASI KABISA. NAWAOMBA WATANZANIA ACHENI KUSHABIKIA WANASIASA JADILI UADILIFU WA RAIS AJAE ILI TUPATE ONDOKANA NA KADHIA HII. TUWE NA BARAZA LA KUWACHUNGUZA WAGOMBEA URAIS KAMA WAFANFAVYO WAMAREKANI. KENEDDY ALIONDOLEWA KWENYE KINYANGANYIRO CHA URAIS KUTOKANA NA KUTORIPOTI AJALI ALIYOISABABISHA. TANZANIA IJAYO JE? TUNAHITAJI RAIS FISADI AU MUHUNI AU ALIYENYANGANYA MKE WA MTU?

    ReplyDelete