06 September 2012

NGOMA ASILI

Mwandishi wa habari wa Kampuni ya Business Times LTD Arusha, Pamella Mollel akicheza ngoma ya kabila lake la Kimasai wakati wa hafla ya kukabidhiwa Shule ya Msingi iliyokarabatiwa na Kampuni ya Samsung ya Irmorijo Monduli juu Arusha.

No comments:

Post a Comment