18 September 2012

MAZUNGUMZO

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Mstahiki Dkt. Didas Masaburi (kushoto), akizungumza na baadhi ya watendaji wa jiji mara baada ya Rais Jakaya Kikwete kuzindua mpango wa uwekaji wa anuani na utambulisho wa mitaa na barabara mwishoni mwa wiki. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment