18 September 2012

MAJI


Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya Airtel wakigawa maji wakati wa matembezi ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Shule ya Sekondari ya Shabaani Robert Upanga, yaliyoongozwa na Rais Mstaafu  wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dar es Salaam jana. Matembezi hayo yalidhaminiwa na kampuni hiyo. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment