07 September 2012

MAFUNZO

Baadhi ya wachezaji walioko kwenye kambi ya soka ya kimataifa ya Copa Coca-Cola, Pretoria, Afrika Kusini wakionesha ujuzi wao wanaopata kutoka kwa makocha wa klabu ya Chelsea ya nchiniUingereza. Na Mpigapicha Wetu

No comments:

Post a Comment