12 September 2012

MAANDAMANO YA WANAHABARI DAR ES SALAAM

Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika maandamano yaliyofanyika Dar es salaam jana,ili kulaani mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa  kituo cha channel Ten,Mkoa wa Iringa,marehemu Daudi Mwangosi anayedaiwa kupigwa bomu na polisi.

No comments:

Post a Comment