Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Dawa na Vipodozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), Bw. Yonah Hebron (kushoto), wakati wa ziara kwenye mamlaka hiyo Dar es Salaam jana. (Picha na Heri Shaaban)
No comments:
Post a Comment