Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Steve Kilindo (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 51.6 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Dr Gogo Engeneering, Bw. Godwin Kallaghe (wa pili kushoto) kwa ajili ya kuchimba kisima chenye urefu wa futi 120, katika Kata ya Makanya Wilaya ya Same, mkoani Kilimanajaro juzi. Kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, ambaye pia ni Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. Mathayo David. (Picha na Queen Lema)

No comments:
Post a Comment