26 September 2012

FARASI


Mkazi mmoja wa Jiji la Dar es Salaam ambaye hakufahamika Jina lake akiwa amepanda farasi akimtumia kama usafiri wake, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu barabara ya uhuru  Dar es Salaam jana (Picha na Anna Titus)

No comments:

Post a Comment