26 September 2012

CCK


Katibu Mkuu wa Chama Cha Kijamii (CCK) Bw.Renatus Muabhi akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani) Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa Jeshi la Polisi na vyama vya siasa uliofanyika hivi karibuni kujadili maswala ya usalama na utulivu wa nchi. Kulia ni Katibu mipango, Uchumi na fedha wa chama hicho Bw.Herman Shelutete.(Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment