Mwalimu wa Shule ya Msingi Msimbazi, Bw. Anaey Michael (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko kwa walimu wa Shule ya Msingi Buguruni Moto, kuhusu kufutwa kwa majina ya usimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi. (Picha na Heri Shaaban)
KAMA WAALIMU HAO WALIKOPA WAKITEGEMEA KULIPA WATAFUTE NJIA YA KULIPA WASILAZIMISHE SENSA
ReplyDeleteNA WENGI NI VIJANA WANAOTAKA FEDHA BILA JASHO WASHUGHULIKE NA UJASIRIAMALI NI MAPUNGUFU WA KUTOPITIA JKT WAENDE JKT HAWA NDIO WALIOFUNDISHA WANACHUO WA STASHAHADA WOTE WAKAKOSA DISTINCTION NA CREDIT N WENGI KUKOSA SIFA ZA KUENDELEA NA CHUO KIKUU
ReplyDeleteLAWAMA KWA WALIMU MPAKA LINI? TUSUBIRI MAMBUMBU WATAKAO FYATULIWA KAMA TOFALI AMBAZO CEMENT HAIKUKOLEA. KAWAMBWA WATOTO WAKE HATA KAMA HAWASOMI TANZANIA LAKINI WATAONGOZA MATAHIRA.
ReplyDeleteKWANI SENSA NI NAFASI ZA WALIMU TU? KUNA WATANZANIA WANGAPI WAMEMALIZA SHULE NAWAO WAMESAHAULIWA BILA KAZI CHAAJABU HAWA WENYE MISHAHARA WANABEMBELEZWA KILA KUKICHA.
ReplyDelete