Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia suala la kufungiwa kwa Gazeti la Mwanahalisi, Bw. Marcossy Albanie (katikati) akitoa tamko kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuitaka Serikali ilifungulie gazeti hilo ndani ya siku 7. Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-Tan), Bw. Mohammed Tibanyendera na Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Bw. Tumaini Mwailenge. (Picha na Anna Titus)
No comments:
Post a Comment