Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Kabwe Zitto, akizungumza na waandishi wa habari, mjini Dodoma jana kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yake. Kushoto ni Mbunge wa Bukombe, Profesa Koyela Kahigi. (Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
SASA HIVI BUNGE LILILOPO SI WATETEZI WA WANYONGE MABADILIKO YA KATIBA YAAMBATANE NA KUFANYA MAREKEBISHO MAKUBWA YA BUNGE ILI LIWE KWA MANUFAA KWA WANYONGE NA LENYE TIJA LILILOKO NI LA CHUMIA TUMBO TUU
mimi naamin mkombozi wa taifa hili for the next generation ni kaka yetu zito zuberi kabwe ambaye anuwezo wa kutu inspire na kutueleza fact ya dhati kabisa katika taifa letu bila uoga bila kificho mimi naamini taifa letu hili la leo tunahitaji ACTIVE LEADER NOT POLITISIAN kama kaka yetu tuko pamoja na wewe hawawezi kukuchafua tukotayari tuandamane!!
SASA HIVI BUNGE LILILOPO SI WATETEZI WA WANYONGE MABADILIKO YA KATIBA YAAMBATANE NA KUFANYA MAREKEBISHO MAKUBWA YA BUNGE ILI LIWE KWA MANUFAA KWA WANYONGE NA LENYE TIJA LILILOKO NI LA CHUMIA TUMBO TUU
ReplyDeleteMBONA WABUNGE WANAONGEZEWA KILA MARA,HAKUNA WABUNIFU ILI KUONGEZA MAPATO YA SERIKALI
ReplyDeletemimi naamin mkombozi wa taifa hili for the next generation ni kaka yetu zito zuberi kabwe ambaye anuwezo wa kutu inspire na kutueleza fact ya dhati kabisa katika taifa letu bila uoga bila kificho
ReplyDeletemimi naamini taifa letu hili la leo tunahitaji
ACTIVE LEADER NOT POLITISIAN kama kaka yetu tuko pamoja na wewe hawawezi kukuchafua tukotayari tuandamane!!