02 August 2012

KUBENEA


kurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi, inachapisha Gazeti la Mwana Halisi, Bw. Saed Kubenea, akizungumza na Waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, wakati akiwaonesha magazeti yanayolalamikia na serikali na kulifungia gazeti hilo. Ameitaka serikali kufuta Tamko lake. (Picha na Philimon Solomon)

1 comment:

  1. KUBENEA. uhuru unautumia vibaya na ukiachiwa utasabisha maafa makubwa. jirekebishe na heshimu taaluma yako achana na wanasiasa kwani wao siku zote wanawaona wananchi kama watoto au wajinga. sasa na wewe ni msomi usikubali wakutumie kwa maslahi yao.AMKA JITAMBUE

    ReplyDelete