28 August 2012

KERO YA MAJI


Mkazi wa Kijiji cha Matilinya, Kata ya Kwadelo, Jimbo la Kondoa Kaskazini, Bi. Esther Khamis, akichota maji kwenye dimbwi ambalo pia ng'ombe wanakunywa maji kama alivyokutwa  mwishoni mwa wiki, tatizo la maji kwenye eneo hilo linatokana na uchakavu wa miundombinu iliyojengwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere alipofanya ziara mwaka 1973. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment