23 August 2012

AIRTEL RISING

Timu ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars barani Afrika, ikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo yao dhidi ya Gabon uliocheza Jumanne, Agosti 21 kwenye Uwanja wa Nyayo, Nairobi. Kwenye mchezo huo, Gabon ilishinda 1-0.

No comments:

Post a Comment