30 July 2012

ZAWADI

Joseph Gerald ambaye ni mwanafunzi  wa nchuo kikuu  cha Mtakatifu Agustino cha jijini Mwanza akikabidhiwa zawadi ya sh.milioni moja na Meneja Mauzo wa Bonite Christopher Loiruk baada ya kuibuka mshindi katika kampeni ya Vuta Mkwanja na Coca-Cola.

No comments:

Post a Comment