04 July 2012

Wizi


Mtuhumiwa wa wizi wa betri aina za NorthStar za Kampuni ya Ulinzi ya Kiwango, zinazotumika kuendesha Minara ya Mawasiliano ya simu za mkononi, Bw. Yona Ndabila, akirudi ndani ya Basi la Magereza, baada ya kesi yake kuahirishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment