Maofisa kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), mkoa wa Kinondoni Kaskazini na askari polisi, wakimsikiliza, Bi. Ashura Dirunga, mkazi wa nyumba namba 12, Mwananyamala A, aliyekamatwa Dar es Salaam jana, akituhumiwa kuharibu mita ya Luku ya shirika hilo kwa lengo la kuiba umeme, wakati wa operesheni maalumu inayoendelea. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment