10 July 2012

WADAU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki (wa tatu kushoto mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa utalii katika sekta binafsi pamoja na baadhi ya viongozi wa Wizara hiyo baada ya kukutana nao kwa mazungumzo ambayo yalifanyika Dar es Salaam, hivi hivi karibuni (Picha na TTB).

No comments:

Post a Comment