Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania, Bi. Pendo Phares (wa pili kushoto), akimsajili mteja mpya wa benki hiyo, Bw. John Aloyce (kushoto), alipofika kwenye banda la benki hiyo wakati wa Maonyesho ya 36 ya Biashara ya Dar es Salaam, Viwanja vya MwalimuNyerere juzi. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment