19 July 2012

UPANUZI WA CHUO

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Jilin, kilichopo katika mji wa Changchung, nchini China, Profesa Qin Guixin (wa nne kushoto), akimuonesha Mhariri Mtendaji wa gazeti hili, Bw. Imma Mbuguni (katikati), na wahariri wengine kutoka vyombo mbalimbali barani Afrika eneo la upanuzi wa chuo hicho. (Na Mpigapicha Wetu)


No comments:

Post a Comment