04 July 2012

Ukombozi


Viongozi na wafuasi wa Chama Kipya cha Siasa cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kilichoanzishwa hivi karibuni, wakionesha ishara ya mshikamano, baada ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, Bw. John Tendwa, kuwapatia hati ya usajili wa muda Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment