Kipa wa Simba, Juma Kaseja akidaka mpira juu ya mshambuliaji wa timu ya Ports ya Djibouti, Taher Hassan Ali wakati wa pambano la michuano ya Kombe la Kagame iliyopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment