17 July 2012

SEMINA ELEKEZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(kulia) akijumuika kuomba dua iliyoombwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin
Shaaban Simba (katikati) baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua rasmi semina
elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment