04 July 2012

Polisi


Maofisa wa Jeshi la Polisi, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Baraka Abdulwakil (mbele yao), alipozungumza nao baada ya kuzindua Bodi ya Ushari ya Vyuo vya Polisi Tanzania, Makao Makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam jana. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment