Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuzindua mradi wa Maji safi na usafi wa Mazingira, Swaya
uliogharimu sh. bilioni 74, zilizotolewa kwa ushirikiano wa Jamhuri ya Ujerumani, Jumuia ya Ulaya na Serikali ya Tanzania. (Picha na Charles Mwakipesile)
No comments:
Post a Comment