Beki wa timu ya El Salaam Wau, Antonio Makuei Uyu (kushoto), akipambana na mshambuliaji wa Atretico ya Burundi, Kelvin Ndayisenga wakati wa mechi ya michuano ya Kombe la Kagame iliyopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Atreitico ilishinda mabao 5-0. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment