05 July 2012

MISS SINZA

Warembo wa Redds Miss Sinza wakiwa mazoezini kwenye ukumbi wa Mawela social (Ten Star Lounge) uliopo karibu na hotel ya Vatican chini ya mwalimu wao Mwajabu Juma ambaye anashikilia taji la Top Model. Warembo hao watapanda jukwaani Julai 13,mwaka huu kutafuta tiketi ya kuiwakilisha Sinza katika mashindano ya  Kanda ya Kinondoni na baadaye Miss Tanzania.

No comments:

Post a Comment