06 July 2012

MAONYESHO

Jaji Mkuu wa EBSS, Ritha Poulsen (kulia)akitembelea banda la ZANTEL katika maonesho ya 36 ya Kimataifa ya Biashara kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya kilwa, Dar es Salaam jana. Kushoto ni wahudumu wa Ezy Pesa Suzan Patrick, Halima Bukko. (Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment