03 July 2012

MAHAKAMANI


Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakiingia eneo la viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana, kujibu tuhuma za kosa la matumizi mabaya ya ofisi na kuhamisha fedha kinyume cha Sheria namba 156 na kukiuka taratibu za fedha za umma. (wa pili kushoto) ni
aliyekuwa Mkuu wa Miradi wa Shirika la Uzarishaji Mali linalomilikiwa na jeshi hilo, (SUMA JKT), Luteni Kanali Felix Samillani, Kanali Ayoub Mwakang'ata  (wa kwanza kulia) na Meja Peter Lushika (wa tatu kulia)  (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. KAWAIDA YA WANAJESHI WAKIFANYA MAKOSA WANAHUKUMIWA JESHINI IWAPO WANAPELEKWA MAHAKAMANI URAIANI INABIDI WAVULIWE UTUMISHI WAO

    ReplyDelete