Mwenyekiti Jukwaa la Katiba Tanzania, Bw. Deus Kibamba, akitoa mada, Dar es Salaam jana, wakati wa kongamano la Shirikisho la Wanafunzi wa Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), kuhusu mchakato wa kupata Katiba Mpya. (Picha na Dorin Mchau)
HIVI WATANZANIA KWANINI WASIACHWE WATOA MAONI YAO KWENYE TUME HURU KWA KAMATI ILICHAGULIWA KISHERIA NI KAMA KUWAONA WALIOPEWA JUKUMU HILO WANA MAPUNGUFU HAYA MAWAZO YAKE KWANINI ASIYAPELEKE KWENYE TUME WATANZANIA WAKO ZAIDI YA MILIONI 40 HUYU MWENYEKITI WA JUKWAA LA KATIBA HANA BUDJET WATANZANIA YA KUWAZUNGUKIA WATANZANIA WOTE MAHITAJI YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU NI TOFAUTI NA MHITAJI YA WATANZANIA WALIOWENGI WASIO NA KISOMO WASOMI NI TONE TU KWENYE MAJI YA BAHARI NIMJUAVYO HUYO MWENYEKITI NI MWANAHARAKATI NA MWANACHAMA WA CHAMA KISICHO NA USAJIRNI HIVI HIVI MZEE MALECHELA ALISEMA WANASIASA NA HANAHARAKATI WAWAACHE HURU WATANZANIA WATOE MAONI KWA UHURU HII NI KATIBA ENDELEVU YA KIZAZI CHA LEO NA KESHO NA KESHO KUTWA

ReplyDeleteKILA SIKU JUKWAA LA KATIBA LIPO DAR!!!
DeleteZUNGUKENI NCHI NZIMA HASA VIJIJINI.