11 July 2012

MAELEZO


Ofisa Masoko wa Kampuni ya GF Trucks,Fatuma Is-Haqa (kulia) akitoa maelezo kwa wakazi wa jiji waliofika kwenye Maonesho ya 36 ya
Biashara ya Kimataifa Viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba, kuhusu  ubora wa gari
aina ya  FAW lililozinduliwa na kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi, kwa ajili ya kubebea
mizigo mikubwa vikiwamo vifaa vya kilimo na ujenzi. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment