Mbunge wa Jimbo la Mbulu, Mkoani Manyara (CHADEMA), Bw. Mustapha Akunaay, akichangia mada, wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Bw. Simon Mayeye na Mbunge wa Viti maalum, ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Bi. Martha Umbulla. (Picha na Mary Margwe)
Mustapha Akunaay huwatendei haki wananchi wa Jimbo la mbulu toka umeanza kuwa mbunge wa jimbo hili umefanya nini na sasa umebakiza mdagani kuachia hicho kiti?? hebu jifikirie wana mbulu waleo sio wa karne zilizo pita kumbuka marmo alika madarakani miaka zaidi ya 25 na hakuna kinachoonekana alichokifanya wananchi hao wa kaamua kumpiga chini pamoja na chama chake .leo hii wilaya ya mbulu inamiaka zaidi ya mia moja na hakuna maendeleo yanayoonekana mmebaki kula tu bila huruma tunawaoona sana usifikiri hatujui.kero yangu kubwa unapokuwa pale bungeni iwe kipindi cha vikao vya kawaida bungeni,or vya Bajeti huchaingii na ukichangia husemi matatizo ya jimbo lako la mbulu kazi kusemea majimbu ya wengine yako umeiacha tena hata unadhiriki kuwaambia wa bunge wezako kuwa hawapaswi kuongea habari za majimbo yao eti ni vikao vya bajeti mbona wenzio wenye akili zao wanatoa kero zao na wanasikilizwa kwani we ndo umekuwa spika?? kumbuka kama anne kilango alivyo toa kero yake kuhusu msitu wa shengena jimboni kwake mbona alisikilizwa tena kwa umakini wa hali yajuu na waziri mkuu. na kuambia hunajipya uko sawa tu na Marmo huna lolote!!!!!!! ushatu kera .mbulu kuna matatizo chungu nzima yakiwemo ya wazee wenye umri mkubwa ambao hawana watu wakuwatunza.ulivyooingia madarakani ulitoa ahadi lukuki leo ziko wapi jitapange upya babu sie sio shamba la bibi.
ReplyDeletehivi tulikutuma usinzie mbungeni????????? utavuna ulichokipanda 2015.