Meneja Masoko ya Nje wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited, inayotengeneza kinywaji cha konyagi, Bw. Bavon Ndumbati (wa pili kushoto) akiwaonesha wateja waliofika katika banda la kampuni hilo wakati wa Maonesho ya Biashara ya 36 ya Kimataifa katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Meneja wa Bidhaa, Bi. Martha Bangu. (Na Mpigapicha Wetu)
No comments:
Post a Comment