05 July 2012

KOCHA MPYA YANGA


Wanachama na mashabiki wa Klabu ya Yanga, wakimshangilia Kocha mpya wa timu hiyo, Mbelgiji, Tom Saintfeit (kushoto) wakati akiwasili Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaana jana, kocha huyo alikuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Timu ya Taifa ya Nigeria, anatarajia kuingia mkataba wa kuifundisha timu hiyo. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment