11 July 2012

KITABU


Mwandishi wa vitabu nchini, Bw.Mkumbo Mitula (kulia) akionesha kitabu kiitwacho 'JIFUNZE UTAFITI' kilichoandikwa na Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Campus cha mkoani Iringa , Dkt. Elia Mligo (), kitabu hicho ni mahususi kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaojiandaa kufanya tafiti mbalimbali.(Picha na Angelina Mganga)

No comments:

Post a Comment