23 July 2012

Jk msaada


Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd (kulia), akipokea msaada wa fedha taslim sh. milioni 10 jana, kutoka kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Juma Kintu, kwa ajili ya kusaidia wahanga wa ajali ya meli ya Mv. Skagit, iliyotokea visiwani Zanzibar juzi. Makabidhiano hayo yalifanyika ofisi za Baraza la Wawakilishi, Mbweni mjini Magharibi. (Picha na Haroub Hussein)

No comments:

Post a Comment