27 July 2012

HUNDI


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Azania, Bw. Charles Singili (Kulia) akimkabidhi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka,  hundi ya sh. milioni 65, za kuboresha nyumba za Kata ya Mazense Mvuleni, wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment