20 July 2012

HATARI

Mkazi wa jiji alikutwa na kamera yetu akining'inia kwenye daladala lifanyalo safari kati ya Mwenge na Gongolamboto, bila kujali usalama wake, kama alivyokutwa eneo la Ilala Boma, Barabara ya Kawawa Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment