MAPAMBANO
Mkazi wa jiji (kushoto) akijaribu kujinasua mara baada ya kufungwa pingu na askari aliyevaa kiraia (kulia) kwa tuhuma za kupigana hadharani, kama walivyokutwa makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi Dar es Salaam jana. (Picha na Rajabu Mhamila)
No comments:
Post a Comment