01 June 2012

PONGEZI


Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipongezwa
na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dkt. Donald Kaberuka (kulia) mara
baada ya hotuba ya ufunguzi wa  mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) Mjini Arusha jana. Katikati ni Rais wa  Ivory Coast Dkt. Alassane Ouattara. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment