07 June 2012

NHIF TIBA


Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mrisho Gambo (kushoto) akishiriki kupima afya yake wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya siku 10 kuhusu njia bora ya maisha na kujikinga na kukabiliana na magonjwa sugu yasiyoambukiza iliyoratibiwa kwa pamoja na Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ)

1 comment:

  1. HUDUMA YA AFYA KWA WALE WANAOTUMIA BIMA YA AFYA ZIKO CHANGAMOTO KAMA VILE WAGONJWA KUAMBIWA NI HUDUMA YA BURE WENGI WAMEKIMBILIA KUJILIPIA GHARAMA ZA MATIBABU NI VEMA KILA AKAUNTI YA MTEJA IKAGULIWE ILI KUHAKIKI UHALALI WA MADAI YALIYOPELEKWA NA KULIPWA KWENYE AKAUNTI HIZO NI UFISADI UNAELEKEZWA KILA MAHALI

    ReplyDelete